NEW ALERT

recent
MAHABA

UKIYAFANYA HAYA LAZIMA MSICHANA AKUKIMBIE



1. Akikosa attention yako

Wasichana hupenda pale wanapofahamu kuwa unawasikiliza na unafahamu nini wao wanahitaji. Kama kutakosekana mawasiliano mazuri na atagundua hilo atauona uhusiano huo haumtimilizii haja zake. Hata kama kila kitu kinaenda sawa. Msikilize anapoongea. Kama akiona hapati penzi analolihitaji atatafuta mwingine ambaye yupo tayari kumtimizia.



2. Kumuheshimu


Msichana huwa anajitoa sana awapo katika mahusiano hivyo anategemea mvulana uheshimu hata kwa chochote kidogo anachokufanyia. Mfanye agundue kuwa umeheshimu kile ambacho amekufanyia.



3. Usaliti. 


Unaposaliti inamaanisha kuna kitu hakipo sawa katika mahusiano yako hata kama una uwezo wa kushughulikia lakini wewe unaona njia sahihi ni kutoka nje kuwa na mahusiano na msichana mwingine ukidhani ndio unarekebisha. Pale msichana wako akikukamata unamsaliti fahamu hawezi kuvumilia naye atakuacha.



4. Ukosefu wa hisia za kimapenzi. 

Msichana hupenda kuona kuwa wanapendwa wanathaminwa na wapenzi wao wanawajali sasa wakiona kuwa hakuna conection ya hisia za kimapenzi kutoka kwa mvulana wake huona kuwa hakuna mapenzi ya kweli katika uhusiano aliopo



5. swala la kufanya mapenzi mara kwa mara

Hawapendi kusikia kuhusu mapenzi mara kwa mara wasichana hupenda kutumia muda mrefu na wapenzi wao bila kusikia neno la kuwataka wafanye mapenzi kama ukiwa nao na ukawataka kimapenzi mara kwa mara watakuwa wanakuavoid hata utakapokuwa ukiwagusa. kama unavojua kufanya mapenzi haimaanishi unampenda saaana wla hata, ila kufanya mapenzi ni zaawad ya kupendana



6. Unapomcontrol sana
msichana humpenda mvulana atakayemlinda na kujiona yupo sehemu salama sio kumdhibiti kufanya mambo yake mengine anapenda uhuru. ILA hapa kwenye kum control hua inategemeana na aina ya mapenzi yenu hasaa, kuna wale wanaume ambao wengi wanapiga kelel tuu yani wao kelele hata hawapumziki yaani hapa lazima umpoteze unapo m control angalia kwenye positive side kama vile kufuata plan zake, kumkumbusha anayosahau kama yupo chuo mlazimishe asoe kama anafanya kazi jitahidi kumuamsha . ila sio unayotaka wewe ndo ayafanye hapa unakua unakosea sanaaaa, 
Font Awesome Icons
UKIYAFANYA HAYA LAZIMA MSICHANA AKUKIMBIE Reviewed by Admin on 11:57 PM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by . © 2020
credit JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.