NEW ALERT

recent
MAHABA

UMUHIMU NA FAIDA ZA KUVAA SHANGA KWA MMKE MWENYE MUME



🌹UMUHIMU NA FAIDA ZA KUVAA SHANGA KWA MMKE MWENYE MUME 🌹

''( SHANGA ) ''Ni Pambo la Urembo kwa Mmke kama mapambo mengine yaliyoruhusiwa kujipamba kihalali.

Shanga ni Pambo ambalo linalovaliwa katika kiuno Chake au Kwenye Makalio Yake hizo ndio sehem kuu za kuvaa Shanga kwa mwanamke.

Zipo Shangza za aina nyingi kwa upambaji wa mwanamke.

(a)kuna ambazo unaweza kuvaa kwenye Matiti.

(B) Kuna ambazo unaweza kuvaa kwenye mapaja .

(C) Kuna ambazo huvaa kwenye miguu zimezoweleka kwa jina la ''kikuku".

🌺UMUHIMU NA FAIDA ZA UVAAJI SHANGA KWA MWANAMKE🌺
( 1 ) Ni pambo linalompendezesha Mmke akilivaa na ni mambo linalompendeza huwa anapendeza Macho Ya Mme kwa kuliona kwa mkewe.

( 2 ) Shanga Hutofautisha Baina Ya Kiuno Cha Mme na Mmke.
( 3 ) Humvutia Mume wakati anapoziona Mme ambae anaejuwa umuhimu wa Shanga Akiziona kwa Mkewe huwa zinamvutia sana na huwenda ikawa sababu ya kumfurahisha na kumtuliza kwa kuona mambo hilo

(4) Shanga huamsha Hisia za Mume anapoziona Mume anapoona pambo hilo huweza kuhamasisha katika kuziamsha hisia zake kwan humchanganya kila anapoziona kwa mkewe.

( 4) Mme hupata shauko wa kucheza na kukichezea Kiuno Cha Mmke kwa kuwepo kwa Shanga zile inampa raha ya jimai na mapenzi makubwa kwa mkewe.

( 5 ) Ni kichocheo Cha Mapenzi kwa wanandoa ambacho hupelekea Mume na Mke kuanza kuamshana hisia zao za Kimapenz na kuona tu mara moja wameshafika katika Uwanja wa kimahaba na Mapenz.

(6) Shanga Husaidia katika kutambuwa kwa Mume saivi naruhusiwa au siruhusiwi kufanya jimai.

Mmke aliekuwa muelewa wa shanga huwa anajuwa kuna Shanga ambazo zinaonyesha Ishara Ya Ruhusa na Ipi inaonesha Ishara Ya kuwa sio Ruhusa Hayo ni katika ufundi wa mwanamke mwenyewe kwa Mfano kama Shanga Nyekundu '' Hizi huonesha kuwa sio Ruhisa Maadhura ⛔.

Shanga Nyeupe, Bluu, Manjano, kijani, Wardi n.k hizi Inaonesha Ishara Ya Ruhusa ya tendo la jimai.✔

Na Shanga ya Kijani hii ni kuwa Ruhusa ipo✅ illa iwe taratibu,kutokana na Ujauzito wa Mwanamke. Hapa vishindo vipunguzwe .

katika a Ishara Ya Uvaaji wa Rangi za,Shanga kwa Mmke Huwapa Ladha Ya Utamu wanandowa kila Wanapochezeana na kugusana Sehemu hizo zilipo shanga

(7)Na mwanamke anapovaa shanga anaonyesha kuwa Jinsi Gani anavyothamini hisia za Mumewe katika Ndowa yake. Kwani katika ndoa ni jambo linalopendeza kila mtu kuweza kuthamin hisia za Mwenzake ,kwa kumfanyia Vitu ambavyo Vitakavyoamsha hisia zake za Kimapenz na kumtuliza mwenzawake.

( 8 ) Shanga ni kitangulizi cha mahaba na mapenzi kabla ya tendo la ndoa .

(9) Kuzuwia mfupa wa uti wa mgongo usipanguke wakati unafanya zowezi la jimai
Font Awesome Icons
UMUHIMU NA FAIDA ZA KUVAA SHANGA KWA MMKE MWENYE MUME Reviewed by Admin on 11:45 PM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by . © 2020
credit JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.