UMUHIMU WA NDOA
Moja katika alama zake Allah Subhaanahu Wata’ala ni kuisimamia ndoa na kuiwekea taratibu zake maalum katika sheria tokea nguzo, adabu, fadhila na hekima zake. Tukiangalia kitabu chake Allah Subhaanahu Wata’ala – Qur’aan tunaona jinsi ilivyotudhihirishia mambo haya katika sehemu tofauti na kwa mfumo maalum ambayo ni Qur’aan pekee ingeliweza kuifafanua katika sura hii.
Miongoni mwa mambo ambayo Qur’aan inazungumzia juu ya ndoa ni
1 Kuiamrisha
Kama anavyosema katika Suuratu Nnisaa/3فَانكِحُواْ مَا طَابَ لَكُم مِّنَ النِّسَاء
Basi oeni mnao wapenda katika wanawake
Suuratu Nnuur/32
وَأَنكِحُوا الْأَيَامَى مِنكُمْ وَالصَّالِحِينَ مِنْ عِبَادِكُمْ وَإِمَائِكُمْ
Na waozeni wajane miongoni mwenu na wema katika watumwa wenu na wajakazi wenu
2 Kuihamasisha
Kama anavyosema Allah Subhaanahu Wata’ala katika Arra’ad/38
وَلَقَدْ أَرْسَلْنَا رُسُلاً مِّن قَبْلِكَ وَجَعَلْنَا لَهُمْ أَزْوَاجًا وَذُرِّيَّةً
Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume kabla yako, na tukajaalia wawe na wake na dhuriya

3 Huleta utajiri na wepesi katika maisha kama anavyosema katika Annuur/32
إِن يَكُونُوا فُقَرَاء يُغْنِهِمُ اللَّهُ مِن فَضْلِهِ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ
Wakiwa mafakiri Allah atawatajirisha kwa fadhila yake. Na Allah ni Mwenye wasaa Mwenye kujua

4 Ni njia ya kukiendeleza kizazi katika ardhi Annahl/72
وَاللّهُ جَعَلَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا وَجَعَلَ لَكُم مِّنْ أَزْوَاجِكُم بَنِينَ وَحَفَدَةً وَرَزَقَكُم مِّنَ الطَّيِّبَاتِ أَفَبِالْبَاطِلِ يُؤْمِنُونَ وَبِنِعْمَتِ اللّهِ هُمْ يَكْفُرُونَ
Na Allah amekuumbieni wake katika jinsi yenu, na akakujaalieni kutoka kwa wake zenu wana na wajukuu, na akakuruzukuni vitu vizuri vizuri.Basi je, wanaamini upotovu na wanazikataa neema za Allah?

5 Ni njia ya kupatikana utulivu, stara, mapenzi na kuoneana huruma. Arruum/21
وَمِنْ آيَاتِهِ أَنْ خَلَقَ لَكُم مِّنْ أَنفُسِكُمْ أَزْوَاجًا لِّتَسْكُنُوا إِلَيْهَا وَجَعَلَ بَيْنَكُم مَّوَدَّةً وَرَحْمَةً إِنَّ فِي ذَلِكَ لَآيَاتٍ لِّقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ
Na katika Ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao. Naye amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Hakika katika haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanaofikiri.

6 Huunganisha koo kufikia kuweza kurithiana kati ya mume na mke. Annisaa/12
وَلَكُمْ نِصْفُ مَا تَرَكَ أَزْوَاجُكُمْ إِن لَّمْ يَكُن لَّهُنَّ وَلَدٌ فَإِن كَانَ لَهُنَّ وَلَدٌ فَلَكُمُ الرُّبُعُ مِمَّا تَرَكْنَ مِن بَعْدِ وَصِيَّةٍ يُوصِينَ بِهَا أَوْ دَيْنٍ
Na fungu lenu ni nusu walicho acha wake zenu ikiwa hawana mtoto. Wakiwa na mtoto basi fungu lenu ni robo ya walicho acha, baada ya wasia waliyo usia au kulipa deni. Na wake zenu watapata robo mlicho kiacha, ikiwa hamna mtoto. Mkiwa mna mtoto basi sehemu yao ni thumni ya mlicho kiacha, baada ya wasia mlio usia au kulipa deni
Ndoa, katika mtazamo wa kisheria, ni msingi wa kwanza katika kujenga jamii ya kiislamu iliyo safi na tohara ikipelekea kuwepo utulivu katika jamii hii na kuhakikishiwa malipo mema huko akhera kwani ni mojawapo katika mambo ambayo yataweza kutuingiza katika pepo ikiwa tutakamilisha na kutekeleza vizuri misingi na taratibu za ndoa.

Miongoni mwa Hadithi za Mtume Swalla Allahu ‘Alayhi Wasallam zinazozungumzia juu ya ndoa ni
1. Kuiamrisha: يا معشر الشباب من استطاع منكم الباءة فليتزوج؛ فإنه أغض للبصر وأحصن للفرج، ومن لم يستطع فعليه بالصوم، فإنه له وجاء. متفق عليه.
Enyi vijana mwenye kuweza miongoni mwenu kuoa na aoe kwani (ndoa huleta) kuinamisha macho na kinga kwa utupu na asieweza basi na afunge kwani hiyo ndiyo kinga. Bukhaari na Muslim
2. Kuilinda
: ثلاثة حق على الله عونهم: المجاهد في سبيل الله، والمكاتب الذي يريد الأداء، والناكح الذي يريد العفاف
رواه الترمذي وغيره وحسنه الألباني
Watu watatu ni haki yake Allah kuwasaidia; mwenye kupigana jihadi kwa ajili ya Allah, mwenye kuandikiana na Mtumwa (Kwa ajili ya kuachiwa huru) huku akiwa na nia ya kulitekeleza hilo, na mwenye kutaka kuoa akitaka kupata sitara na kujizuia na maovu.”
Attirmdhiy na wengineo na Sh. Albaani anasema ni Hadithi Hasan
3. Hukamilisha nusu ya dini
: إذا تزوج العبد فقد استكمل نصف الدين فليتق الله فيما بقي. صححه الشيخ الألباني في السلسلة الصحيحة
"Mwenye kufunga ndoa (atakuwa) amekamilisha nusu ya Imani (dini yake) na amuogope Allah katika nusu itakayobakia" Ameisahihisha Sh. Albaani katika Silsila Sahiha

4. Kuiraghibisha
"إذا أتاكم من ترضون خلقه ودينه فزوجوه إن لا تفعلوا تكن فتنة في الأرض و فساد عريض
صحيح الجامع
Atakapokujieni mtakaemridhia kwa tabia zake na dini yake basi muozesheni na kama hamkufanya itakuwa fitna katika ardhi na ufisadi mkubwa. Sahihul Jaami’i

5. Ndiyo starehe ya dunia
"الدُّنْيَا مَتَاعٌ وَخَيْرُ مَتَاعِ الدُّنْيَا الْمَرْأَةُ الصَّالِحَةُ" مسلم
Dunia ni starehe. Na starehe iliyo bora kwa dunia ni mwanamke aliye mwema. Muslim
Pia ndoa ni muhimu kwa sababu
· Huitekeleza Sunna ya Mtume Swalla Allahu ‘Alayhi Wasallam.
· Hupata jamii iliyojengeka katika misingi sahihi.
· Huiepusha jamii na tabiya chafu ambazo wasiooa hupendelea kuzitekeleza.
· Huiepusha jamii na maradhi mengi.
· Kuwapa wanandoa hisia ya kwamba wao pia wanapendwa kama wanavyojipenda wao wenyewe.
· Hupatikana utajiri.
· Huifundisha Dunia ni starehe. Na starehe iliyo bora kwa dunia ni mwanamke aliye mwema. Muslim

· Huifundisha jamii maana halisi ya kubeba majukumu.

Reviewed by Admin
on
1:36 PM
Rating:
No comments: