NEW ALERT

recent
MAHABA

KIBOKO YA NGUVU ZA KIUME



USIUCHUKULIE POA MCHANGANYIKO HUU NI KIBOKO YA NGUVU ZA KIUME



Kupungua nguvu za kiume limekuwa jambo la kawaida katika jamii licha ya kuwa ni tatizo lenye athari mbaya. Kupungua nguvu za kiume ni hali ya uume kushindwa kusimama ipasavyo kwa ajili ya tendo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni wakati wa tendo hilo.


Tatizo la kupungua nguvu za kiume huongezeka sababu ya umri. Baadhi ya tafiti zinasema wanaume wenye umri wa kuanzia miaka 61 na kuendelea ndiyo wanapatwa na tatizo hilo zaidi kuliko wale wenye umri wa miaka 41 kushuka chini.


Hata hivyo, hali halisi ya sasa ni kwamba tatizo hilo limekuwa kubwa kwa watu wa rika zote si wazee pekee wapo vijana pia.


Zipo sababu nyingi zinazochangia nguvu za kiume kupungua. Wapo ambao nguvu zao hupungua kutokana na kuangalia video za ngono kupita kiasi, wengine hupigwa punyeto bila wao kujua lakini pia wapo wanaozaliwa na tatizo hilo.


Ninapozungumzia kujichua bila wao kujua, hapa namaanisha wale wanapokuwa faragha na wanza wao ambapo huwashika kwa nguvu sehemu zao za uzazi na kuzichua ili kuchochea raha.


Wengine wenye hatari ya kupatwa na tatizo la kupungua nguvu za kiume ni pamoja na wanaume wenye shinikizo la juu la damu, wenye matatizo ya tezi, waliowahi kufanya upasuaji katika viungo vya uzazi, wanaotumia dawa zenye kemikali bila kushauriwa na wataalamu na wanaougua maradhi yanayodhoofisha msukumo wa damu kwenda katika mishipa ya uume.


Hata hivyo, kama wewe ni mwanaume mwenye tatizo hilo usikate tamaa tumia mchanganyiko ufuatao ni kiboko kwa wenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na sababu tajwa na nyingine.


Changanya bilinganya, ndizi mbivu, kitunguu swaumu na tangawizi, saga pamoja kisha changanya na asali au maziwa freshi ya ng’ombe, kunywa unasaidia sana katika kurudisha nguvu za kiume.


Hii ni kwa sababu bilinganya pamoja na mambo mengine inasaidia sana kwenye masuala ya moyo kuuwezesha kufanya kazi vizuri, ndizi zina nyuzinyuzi lishe wakati tangawizi inaongeza joto mwilini na kuusisimua mwili.


Font Awesome Icons
KIBOKO YA NGUVU ZA KIUME Reviewed by Admin on 6:54 AM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by . © 2020
credit JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.