NEW ALERT

recent
MAHABA

WAJUA UKWAJU NA CHUMVI VINAONDOA UVIMBE WA KUTEGUKA

WAJUA UKWAJU NA CHUMVI VINAONDOA UVIMBE WA KUTEGUKA?



Kwa kawaida baada ya kuteguka au kuumia, uvimbe hutokeza kwenye eneo husika. Si vema kukanda eneo hilo maana utaongeza uvujaji damu wa ndani kwa ndani na hivyo kuzidisha uvimbe.Jitahidi kutumia njia za kuondoa uvimbe ili kukabiliana na hali hiyo badala ya kukanda. Zipo nia nyingi, moja ya njia hizo tumia ukwaju na chumvi. Kamua ukwaju upate juisi nzito kama uji, ongeza chumvi yakutosha, koroga vizuri kupata mchanganyiko mzuri.




Paka uji huo sehemu zote zenye uvimbe unaotokana na kuumia au kuteguka. Ni vema ukaacha uji huo muda wa saa 12, baada ya hapo paka tena, fanya hivyo hadi uvimbe utakapo pona.Ikiwa una tatizo lolote la kiafya, karibu kwenye kituo chetu cha kutolea huduma za afya Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam. Acha kuendelea kuteseka kwa maradhi yaliyoshindikana.


WAJUA UKWAJU NA CHUMVI VINAONDOA UVIMBE WA KUTEGUKA Reviewed by Admin on 11:51 AM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by . © 2020
credit JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.