MAAJABU YA UKWAJU NA CHUMVI
Kwa kawaida baada ya kuteguka au kuumia, uvimbe hutokeza kwenye eneo husika. Si vema kukanda eneo hilo maana utaongeza uvujaji damu wa ndani kwa ndani na hivyo kuzidisha uvimbe.
Jitahidi kutumia njia za kuondoa uvimbe ili kukabiliana na hali hiyo badala ya kukanda. Zipo nia nyingi, moja ya njia hizo tumia ukwaju na chumvi. Kamua ukwaju upate juisi nzito kama uji, ongeza chumvi yakutosha, koroga vizuri kupata mchanganyiko mzuri.
Paka uji huo sehemu zote zenye uvimbe unaotokana na kuumia au kuteguka. Ni vema ukaacha uji huo muda wa saa 12, baada ya hapo paka tena, fanya hivyo hadi uvimbe utakapo pona.
MAAJABU YA UKWAJU NA CHUMVI
Reviewed by Admin
on
9:00 AM
Rating:
No comments: