NEW ALERT

recent
MAHABA

JINSI YA KUFANYA MWANAMKE AKUPENDE BILA KUMWAMBIA



kuna muda unaweza kua unampenda mdada afu hujui hata jinsi ya kuanza kumwambia yaani huez kabisaa, inatokea huyo mdada upo nae karibu labda ofisi moja ama sehemu ya kukaa ni nyumba moja. kama ni rafiki yako ukimwambia unampenda kuna mawili akupende ama urafiki ufe kabisaaa leo nakulete mambo y kufanya ili uepukane na hiloo


#1 Usioneshe unampenda sana.
Kwa muda mrefu, kumekuwa na utamaduni wa mwanaume kumwonesha mwanamke anampenda sana ili aweze kukubaliwa, na wanawake ndo wamejijengea utamaduni wa kufatwa. Hii inawapa wanawake uhuru wa kuchagua mwanaume wanayemtaka na kuwatema wasio wataka.
Japo, unaweza ukageuza mambo kwa kuwa karibu na mwanamke na kumfanya yeye ajue kwambw awewe haumuhitaji yeye au hauna lengo la kumtongoza au kumtaka, kwa maana hiyo huna haja ya kumuomba kitu yeye akukubalie. Punguza hisia, zisikuendeshe ssana hatakama unamuhitaji. Hii itamfanya mwanamke akuone wa tofauti kwa sababu wegi wanamsumbua lakini wewe haumsumbui, hivyo atajitahidi afanye kila linalowezekana ili akuvutie(Hivyo umegeuza kibao)..


#2 Wakati mwingine KATAA.
Usiwe mwepesi wa kukubaliana na kila jambo, wanaume wengi ili wakubaliwe huwa radhi kufanya lolote wanaloambiwa hatakama hana uwezo ili tu amvutie mwanamke. Kama kweli unataka kumvutia mwanamke , 

hautakiwi kuanguka kwenye huu mtego. Usimvutie kiti ili akae, usimnunulie kinywaji, muda mwingine puuza maombi yake, na ikiezekana kwa baadhi ya mambo useme “HAPANA”.

#3 Usiwe rafiki sana.
Jijue kuwa wewe ni mtanashati na mwanume halisi. Kama unaingia bar au mgahawani na huyu mwanamke anakuangalia tangu unaingia , nenda kakae kwenye kiti kilichopo karibu na yeye – ikiwezekana umtazame. Hapo mawazo yake yatakuwa yashampeleka kwamba unataka kumuagizia kitu eidha kinywaji au chakula.

Badala yake, achana naye na sura yako bila kujtabatamisha sana agiza kinywaji chako mwenyewe na usimwangalie tena, fata yako. Haya mambo yatampagawisha na itamfanya yeye sasa, afanye jambo lolote ili aweze kukuvutia.
Font Awesome Icons
JINSI YA KUFANYA MWANAMKE AKUPENDE BILA KUMWAMBIA Reviewed by Admin on 2:08 AM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by . © 2020
credit JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.