NEW ALERT

recent
MAHABA

MADHARA YA KUMNYONYA MWANAMKE SEHEMU ZA SIRI

EPUKA KUMSTAREHESHA MWANAMKE KWA KUMNYONYA SEHEMU ZA SIRI

HATARI KWA AFYA; MADHARA YA KUNYONYA UUME/UKE – Mwanaharakati Mzalendo
kunyonya sehemu za siri

Maradhi ya koo yamekuwa na athari nyingi kwa waathiriwa ikiwa ni pamoja na kushindwa kula chakula au kunywa vinywaji vya aina mbalimbali.


Maradhi ya koo yanaweza kumpata yeyote, licha ya kuwa siku za hivi karibuni wanaume wengi zaidi ndiyo wanaokumbwa na tatizo hilo.

Zipo sababu nyingi zinazochangia ongezeko la waathiriwa wa tatizo hilo kila kukicha, lakini tabia ya baadhi ya wanaume kuwanyoka uke wake au wapenzi wao kama sehemu ya kuwastarehesha inachangia ukubwa wa tatizo hilo.

Hiyo inatokana na kwamba kwenye sehemu za siri za mwanamke kuna bakteria walinzi kwa ajili ya sehemu hizo, wanaume anapomnyonya mwanamke anakuwa katika uwezekano mkubwa wa kuwahamishia mdomoni na hadi koo na hivyo kukumbana na madhara hayo.

Pamoja na aina mbalimbali zinazosaidia kuleta ahueni kwa tatizo hilo, binafsi nakushauri mwathiriwa atumie ndimu, inasaidia kukabiliana na tatizo hilo haraka.

Kata ndimu kisha kamua maji yake weka katika koo kwa sekunde hadi dakika kadhaa kila asubuhi kabla ya kula chochote huku mengine ukiyameza.

Njia hi inasaidia sana kuleta nafuu ya tatizo kwa kuwa katika ndimu mna vitamini C kwa wingi ambayo pamoja na mambo mengine inaimarisha askari walinzi wa koo ambao mara nyingi uimara wao hupungua baada ya kuvamiwa wale wageni.

MADHARA YA KUMNYONYA MWANAMKE SEHEMU ZA SIRI Reviewed by Admin on 5:08 PM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by . © 2020
credit JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.