NEW ALERT

recent
MAHABA

TUMIA UA LA BOGA KUMALIZA TATIZO LA MTOTO WA JICHO



Kimsingi mtoto wa jicho ni ugonjwa ambao mboni ya jicho huwa na alama nyeupe ambayo inazuia uingizaji mwanga ndani ya jicho. Hali hiyo hulifanya jicho lisitengeneze picha


ya vitu vya aina mbalimbali vinavyomwezesha mtu kuona.

Ugonjwa huu mara nyingi huwapata wazee lakini hata vijana wanaweza kuathirika nao. Mara nyingi tiba ya mtoto wa jicho huchukua muda mrefu ukilingana na magonjwa mengine.

Kutokana na matibabu ya ugonjwa huu kuchukua muda mrefu, mgonjwa hana budi kuwa makini na mvumilivu wakati wa tiba. Atumie ua la boga kutibu mtoto wa jicho.

Tengeneza juisi ya maua ya m-boga. Paka juisi hiyo kwenye kope za jicho asubuhi na jioni mfululizo katika kipindi cha mwezi mzima. Au weka matone mawili ya asali katika jicho mara mbili kwa maana ya asubuhi na jioni muda wa mwezi mmoja hadi miwili.

Mara nyingi tiba hizi ni za uhakika, zingatia maelekezo unapozitumia utapata nafuu na hata kupona kabisa.


Font Awesome Icons
TUMIA UA LA BOGA KUMALIZA TATIZO LA MTOTO WA JICHO Reviewed by Admin on 7:04 AM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by . © 2020
credit JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.