NEW ALERT

recent
MAHABA

MBINU 4 ZA KUCHELEWA KUPIGA BAO KWA MWANAUME





Wanawake wengi wanagombana na watu wao na hata wengine kusaliti mahusiano yao kwa sababu hawavutiwi kuwaona waume zaowakiwahi kufika kileleni,hivyo kushindwa kuwapa dozi inayotesheleza.

Tatizo kubwa linalowasumbua wanaume wengi wenye tatizo la kufika kileleni mapema ni kuwa na Pupa na haraka ya kufanya mapenzi.Wengi wao hupokea hisia zilizokuzwa na kwenda nazo katika ufanyaji wa tendo la ndoa.

Saikolojia inaelekeza kuwa ili mwanaume achelewe kumaliza ni lazima apunguze mhemko unaotokana na kuona,kuhisi na kupagawishwa na staili,maumbile au chombezo toka kwa mwanamke.Anachotakiwa kufanya ni:-

1.Kutumia zaidi ya dakika 20 kufanya maandalizi na mpenzi wako kabla ya kuanza tendo.Hii itasaidia kuufanya mhemko wako ushuke na kumuongezea kujiamini na pia kumuongezea muda zaidi wa kumaliza.

2.Mbinu nyingine ni ile ya kuidanganya akili nilazima itumike ili kuzima taarifa za juu za uzuri wa mwanamke,maumbile na raha ya starehe isipokelewe kwa nguvu kubwa mwilini.Hii ikiwa na maana kuwa kuna kipindiinabidi fikra za mwanaume zisihamasike sana kwenye tendo badala yake iletwe mawazoni hali ya kawaida,si ile ya kuweweseka na kuhemahema ovyo.

3.Pia inashauriwa kuwa mume ma mke wanapoingia katika uwanja wa mapenzi wakae kwanza kwa muda,huku wakiwa wamejiachia na mavazi mepesi,lakini pia wacheze michezo mingi kwa muda mrefu bila kuanza kazi yao.Wakiwa kwenye hamasa hizo wasiwe kimya


4.Mbinu nyingine ni ile ya mwanaume kujibana akiona dalili za awali za kumaliza bila kujali ametumia muda gani,anachotakiwakufamya ni kukaza misuli ya miguu na kuzuiambegu kwa mtindo atumiao kuzuia haja ndogo isitoke,kujibana huko pia kumatakiwa kuende sambamba na kuacha kucheza “shoo” pamoja na hilo mwanaume anatakiwa aidanganye akili kwa kulazimisha iwaze jambo jingine ili kuharibu taarifa za raha zilizotumwa mwilini zisiendelee kufanyiwa kazi na hatimaye kumfanya kumaliza tendo harakaZoezi hili linaweza kuwa gumu katika hatua za kwanza kutokana na kukosea muda sahihiwa kijizuia,lakini mhusika akiendelea kukizoeza atajikuta anaweza na kupata uwezo wa kufanya mapenzi hata kwa saa nzima hivyo kuondokana na tatizo hilo.



N:B-Kwa wale waliozoea kujichua wanashauriwa kuacha mara moja kwani ni sababu pia ya wao kufika kileleni mapema,hii ni kwa wanakuwa wamezoe kutumia ngivu sana hivyo wanapokutana na kiungo halisia “UKE” wanashindwa kujizuia kufika kileleni mapema kutokana na joto la kiungo halisia”UKE” kuwa tofauti na vile walivyozoea.




Font Awesome Icons
MBINU 4 ZA KUCHELEWA KUPIGA BAO KWA MWANAUME Reviewed by Admin on 5:59 AM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by . © 2020
credit JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.