NEW ALERT

recent
MAHABA

MAMBO YATAKAYO MFURAHISHA MUMEO



Baadhi ya mambo yatakayomfurahisha mume..

1 Mke amtii Allah kisiri na kiwaziwazi na mtume Muhammad swalla Allah alei wasalamu na awe mke mwema

2 Ailinde nafsi yake na mali ya Mume wake anaposafiri

3 Pindi mume anapomtazama mke wake awe furaha na awe amijipamba vizuri ili aone uzuri wa umbile lake ili mume aavutike saaana

4 Asitoke nje ya nyumba ila kwa Idhini ya mume wake
5 Mume anapenda kumuona mke wake anatabasamu sana
6 Awe ana mshukuru Mume wake kwa neema ya ndoa yao na hapo ndio ataweza kujua neema ya Allah kuwa Amepata sitara na kujaliwa kuwa mama wa nyumba

7 ASOME MAZINGIRA PINDI AKITAKA KITU KWA MUME WAKE ILI ASIJE AKAPINGA ..ATUMIE MANENO LAINI YENYE HEKIMA

8 awe na Tabia nzuri
9 asitoke na huku akionyesha MAUMBILE yake waziwazi
10 Wakati wa mjadala na mume asinyanyue Sauti kuwa kubwa saaana
11 Awe na subira na umasikini wa mume wake na ashukuru akiwa mume wake Tajiri
12 Akubali kufanya tendo la ndoa kila aina ya staili anayotaka mume ila sehemu isioruhusika
Muhimu mambo meeeengi wngine watamalizia
MAMBO YATAKAYO MFURAHISHA MUMEO Reviewed by Admin on 1:59 PM Rating: 5

No comments:

All Rights Reserved by . © 2020
credit JOJOThemes

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.