YALIYOHARAMISHWA KWA MWENYE HEDHI NA NIFASI
1 Kusali : Kwa mujibu wa hadithi ya Mtume Swalla Allahu ‘Alayhi Wasallam kama anavyosimulia Bibi ‘Aishah Allah Amuwie radhi:
كنا نحيض على عهد رسول الله صلّى الله عليه وسلّم فنؤمر بقضاء الصوم ولا نؤمر بقضاء الصلاة
ومسلم البخاري
Tulikuwa tukipatwa na hedhi enzi za Mtume Swalla Allahu ‘Alayhi Wasallam na tuliamrishwa kulipa funga na hatukuamrishwa kulipa Sala.
Bukhari na Muslim
2 Kufunga: Kwa mujibu wa hadithi iliyotajwa hapo juu. Hukatazwa kufunga kwa muda wa hedhi lakini bado funga ni wajibu kwake. Kwa mujibu wa Hadithi ya Mtume Swalla Allahu ‘Alayhi Wasallam;
أليس إذا حاضت لم تصلِّ ولم تصم
ومسلم البخاري
Hivi haikuwa mwanamke anapoingia katika siku zake (hedhi) hasali wala hafungi?
Bukhari na Muslim
أليس إذا حاضت لم تصلِّ ولم تصم
ومسلم البخاري
Hivi haikuwa mwanamke anapoingia katika siku zake (hedhi) hasali wala hafungi?
Bukhari na Muslim
3 Kufanya Tawaafu: Kwa mujibu wa Hadithi ya Bibi ‘Aishah pale alipoambiwa na Mtume Swalla Allahu ‘Alayhi Wasallam:
افعلي ما يفعل الحاج غير أن لا تطوفي بالبيت حتى تطهري
ومسلم البخاري
Fanya kila analolifanya anaehiji isipokuwa usitufu katika nyumba mpaka utoharike
Bukhari na Muslim
Na kwa mujibu wa Hadithi ya Mtume Swalla Allau ‘Alayhi Wasallam
النسائي، والترمذي، وابن خزيمة الطواف بالبيت صلاة
Tawafu kwenye nyumba (Msikiti) ni Sala
Annasaa-I, Attirmidhiy na Ibn Khuzaymah

4 Kugusa Msahafu: Kwa mujibu wa Hadithi ya Mtume Swalla Allahu ‘Alayhi Wasallam:
لا يمس القرآن إلا طاهر
أخرجه مالك في الموطاً وصححه الألباني
Hagusi Quraan isipokuwa aliye tohara
Maalik katika kitabu cha Muwatta na ameisahihisha Sh. Albani
لا يمس القرآن إلا طاهر
أخرجه مالك في الموطاً وصححه الألباني
Hagusi Quraan isipokuwa aliye tohara
Maalik katika kitabu cha Muwatta na ameisahihisha Sh. Albani
5 Kufanya tendo la ndoa – Jimaai : Kwa mujibu wa aya ya 222 Suuratul Baqarah
فَاعْتَزِلُواْ النِّسَاءَ فِي الْمَحِيضِ وَلاَ تَقْرَبُوهُنَّ حَتَّى يَطْهُرْنَ فَإِذَا تَطَهَّرْنَ فَأْتُوهُنَّ مِنْ حَيْثُ أَمَرَكُمُ اللَّهُ
Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka watoharike. Wakishatoharika basi waendeeni alivyokuamrisheni Allah.

7. Kuachwa- Kupewa talaka: Kwa mujibu wa aya ya 1 Suuratu Twalaaq
فَطَلِّقُوهُنَّ لِعِدَّتِهِنَّ
Wapeni talaka katika (wakati wa) eda zao
فَطَلِّقُوهُنَّ لِعِدَّتِهِنَّ
Wapeni talaka katika (wakati wa) eda zao
7 Kukaa eda kwa kufuata miezi: Kwa mwanamke aliyeachika atakaa eda kwa
kukamilisha hedhi/tohara tatu na si miezi mitatu kwa mujibu wa aya ya 228 Suuratul Baqarah
وَالْمُطَلَّقَاتُ يَتَرَبَّصْنَ بِأَنفُسِهِنَّ ثَلاَثَةَ قُرُوءٍ
Na wanawake walioachwa wangoje peke yao mpaka tohara (au hedhi) tatu zipite.

8 Kukaa Msikitini: Kwa mujibu wa Hadithi ya Mtume Swalla Allahu ‘Alayhi Wasallam kama ilivyopokelewa kutoka kwa Bibi ‘Aishah, Allah Amuwie radhi:
فإني لا أحل المسجد لحائض ولا جنب
أبو داود
Hakika mimi simuhalalishii msikiti mwenye hedhi na mwenye janaba
فإني لا أحل المسجد لحائض ولا جنب
أبو داود
Hakika mimi simuhalalishii msikiti mwenye hedhi na mwenye janaba
YALIYOHARAMISHWA KWA MWENYE HEDHI NA NIFASI
Reviewed by Admin
on
2:33 PM
Rating:
No comments: